Home
Unlabelled
GODLISTEN NA PRISKILA WAMEREMETA MOSHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani nisaidieni hapa. Kwa nini wa Tanzania wengi huwa wananuna kwenye picha zao za harusi? Jamaa hapo juu na wazazi wamenuna hivi kama wamelazimishwa kuoana. Mimi nilifikiri unatakiwa uwe happy siku ya arusi. Smile paople!
ReplyDeletewachaga bwana hatujifichi..check pozi la kiborloni hilo....LOL
ReplyDeletekaka nimependa jina hilo MUNGU ANASIKIA.
ReplyDeleteHeheheh eti watu wananuna...Nakumbuka nikiwa mdogo nilikua nasikia...mwone yule kacheka kweli ...wanamwita mapepe, You couldn't wait to get married etc etc...Na wengine shangazi yuke pepembeni ukicheka tu unafinywa...ouch..yaani unatakiwa uact kama unahuzui kweli kuwaacha ndugu zako na ni kama hutaki kuolewa vile but you have to do - traditionally...
ReplyDeleteTradition nyingine kazi kweli...Usipoolewa kila siku lini utaolewa . Siku unaolewa hutakiwi kufurahia...
Hongereni saana mkaishi kwa upendooo mpendane kila siku sawa Godlisten? nyumba ndogo marufuku! bibie na wewe mtunze mzee kama mboni ya jicho lako ndoa ni bidhaa adimu!
ReplyDeleteDAH DOGO UMEKUA ASEE,HONGERA SANA!
ReplyDeleteMtoa maoni hapo juu uliyesema wamenuna kwenye picha: Nisawa kabisa. harusi za kichagga huwa si isharanjema ni balaa. Utakuta huko wakwe, mawifi utachoka mwenyewe. Hata mume hutamfaidi maana anashikiliwa na nduguze kama papasi. Kweli lazima wanune.Kwanza wakwehukasirika kuona mtoto wao anaoa wanadhani atawanyang'anya chakula. wakwe kwa upande wa bi harusi wnasikitikia mtoto wao. Lakini utafanyaje hiyo kawaiada ilishajijenga. Wachagga tubadirike vinginevyo watoto watawakimbia na kuowa ukuryanikule mapanga shya shya. Wale ndio watawaweza
ReplyDeleteKAKA HONGERA UMEPENDEZA!!
ReplyDeleteNKYA
A-CITY