(4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010)
Marehem Hassan Jumanne Makunja ni mdogo wake Kamanda wa FFU Ugiabuni, Ras makunja.Late Hassan Makunja amefariki dunia uko Utete,Rufiji,mkoani Pwanisiku ya 19.December 2010 na kuzikwa 20.12.2010.
Marehem Hassan Makunja alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya vidonda vya tumbo,alikwenda mjini utete,Rufiji kwa mapuziko na kumtembela mama yake mzazi ndipo umauti ukamkuta.
Familia ya marehem inasikitika kuwajulisha jamaa na marafiki taarifa hii ya msiba wa Ndugu Hassan Jumanne Makunja kuwa hatunaye tena.
Rambi rambi wasiliana namba hii
0787532929 au 0718893419,
Bi.Ummy Makunja
0787532929 au 0718893419,
Bi.Ummy Makunja
Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDeleteAmin
Poleni wafiwa...
ReplyDeleteMay Lord rest his soul in peace
hakika sisi ni wa mungu na kwake tutarejea. eeh mola (s.w) msamehe marehem na umulaze mahali pema aaamin.
ReplyDeleteInna lillahi waina ilaihi rajiun
ReplyDelete