Marehemu Saidi Baamary (aliyesimama) akiwa na wadau wengine kwenye hafla ya kuwakumbuka wadau waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika Jumamosi kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Marehemu alipata ajali ya kugongwa na gari jirani na ubalozi wa Ufaransa siku hiyo hiyo na kufariki hapo hapo. Amezikwa leo mchana makaburi ya Kisutu. Mola aiweke roho yake mahali pema peponi - Amin
Nyau haruki hapa....anasema Franco Kabigi akiwa na mpunga wake mkononi

Wadau walijitokeza kwa wingi
Vijana kwa wazee walihudhuria
Tonge nyama.....

Mtu mzima Philemon na mpunga wake.
Kwa picha zaidi za hafla hii
BOFYA HAPA
Kwa habari ya awali na majina
BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi samahani sijakuelewa vizuri. Yaani unasema Marehemu alihudhuria hii hafla ya kumkumbuka?

    ReplyDelete
  2. eeh philemon kakucha tu ama kweli pesa inakufanya mtu usizeeke

    ReplyDelete
  3. Hongera balozi Sisco Mtiro na washiriki kwa kuaandaa hitma ya kuwakumbuka wenzetu waliotangulia mbele ya haki.Inatia moyo na ni upendo na umoja wetu Watanzania bila kujali dini au rangi.Mola tulinde watanzania na upendo wetu. Mdau Trondheim.

    ReplyDelete
  4. Rest in peace dear Uncle

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...