
Nancy Cosmas Salufu
Nancy anatimiza miaka saba ya kuzaliwa leo tarehe 02/12/2010. Sisi wazazi wake Eng. Cosmas Salufu na Theresia Cosmas wa Kibamba kwa Mangi DSM tunamtakia maisha mema yenye baraka tele na mafanikio mema katika masomo yake anayobukua pale St. Anne Maria DSM ambapo mwakani anaingia Grade 3. Mnuso utakuwa hapo nyumbani kwetu Kibamba kwa Mangi leo kuanzia saa 10 jioni hadi saa 2 usiku. Nancy anawakaribisha wanafunzi wenzake wote wa G2.
Ni mimi baba yake Eng. Cosmas Salufu
Hongereni sana.
ReplyDeletenapenda kuuliza hii St. Anne Marie ipo hapo Kibamba kwa Mangi?
Sherehe njema
Mdau
Jamani uncle Salufu hongera!
ReplyDeleteNancy kawa mkubwa sasa.
Kama Fr Beno atakuwepo mpe hi sana.
Mdau- Sweden
Happy bday my Darling, Mama Mkubwa Love you so much, Enjoy, its your day, Love u,
ReplyDeletemlee vizuri my son anataka mchumba wa tabia nzuri baadaye
ReplyDeleteDa Teddy Hongereni sana kwa b'day ya binti. Baraka nyingi zimiminike kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Sherehe njema na sikukuu njema.
ReplyDeleteHappy Birthday Nancy,Mungu akujalie afya na baraka tele!
ReplyDeleteMimi ni mama Chantel Isaac!