Hi Kaka pole na shughuli za kuelimisha Jamii. Binti yangu Vanessa Aisha leo ni siku yake ya kuzaliwa, anatimizamwaka mmoja.
Mungu amjaalie maisha marefu na afya njema.

Mdau wa Globu ya Jamii
Ismail Mussa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Uchakachuaji sasa umehamia kwenye majina!!!

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday Vanessa Aisha. Mdau from UK

    ReplyDelete
  3. HAPPY BIRTHDAY BABY AISHA MUNGU AKUPE UMRI NA AFYA NJEMA PAMOJA NA WAZAZI WAKO.

    SHOSTI LA UK

    ReplyDelete
  4. she is cute, long life and dream big girl.All the best.

    ReplyDelete
  5. HappyBirthday Vanessa, many kisses to youuuu love

    ReplyDelete
  6. Nasikia huko UK ni lazima utumie majina ya kikristo. Majina ya dini zingine yanasumbua. Je ni kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...