Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki anayemaliza muda wake,Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi uenyekiti wa jumuiya hiyo kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wa kumi na mbili wa kilele wa wakuu wa nchi ya jumuiya hiyo uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana jioni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake,Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya hiyo,Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi mara baada ya kumkabidhi uenyekiti huo.(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...