
Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi Mtoto mwenye Ulemavu wa Miguu Baiskeli ya kumwezesha kutembea.Hii ilikuwa ni wakati wa Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu iliyoadhimishwa kitaifa huko Mkuranga. Jumla ya Baiskeli 50 Zimetolewa kwa Ajili ya kuwasaidia Watu wenye Ulemavu Wilayani humo.

Waheshimiwa Ummy Ali Mwalimu na Mhe.Al-Shymaa Kwegyr- Mbunge Viti Maalum Walemavu wakimsaidia mlemavu namna ya kutumia baiskeli hiyo.

Mhe.Ummy Ali Mwalimu akisoma Hotuba yake wakati
Siku hii ya Walemavu huko Mkuranga.

Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, wanawake na watoto, Mhe.Ummy Ali Mwalimu,Mhe.Al-Shymaar wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Henry Orauya( Kulia) pamoja na Viongozi Wakuu wa Wilaya hiyo, mara baada ya kuwasili Wilayani hapo. Picha zote na Mdau Asteria Muhozya wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...