Home
Unlabelled
Joseph Payne katika fainali za Kili Bongo Star Search 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
1.Maneno ya wengi wa Majaji hakika hayakustahili kabisa.
ReplyDelete2. Kuhusu Payne, tubandikie hapa Work Permit yake ndio tutoe maoni yaliyokwenda shule! Vinginevyo nawaachia hii assg. wenzangu wa Uhamiaji.
Mh.. eti "Wakenya wana ukabila" "hawa Hawana" jamanii... Watanzania wana udini na wenyewe ni ubaguzi pia. Ubaguzi ni ubaguzi tu hata tuuite nini... ubaguzi ni ubaguzi tu.. wa kidini, kishikaji n.k... Sasa hapa tuseme John Payne alishindwa kwa sababu ya ubaguzi siyo ukabila. Labda ubaguzi wa uraia. Sasa kwanini walimruhusu kushiriki kama walitaka raia kushinda basi vigezo vingewekwa wazi tokea mwanzo kwamba hapa - John Payne haruhusiwi.
ReplyDeleteMajaji wa BSS mmechemsha..huyu jamaa ilibidi awe mshindi bila ubaguzi..tuamke jamani na kuacha siasa..ya kaisar mpe kaisar..mwenye chake mpe..
ReplyDeleteAliniudhi sana Master J alipokuwa anatutukana watanzania wote kwamba tunashabikia bila kuelewa. The guy is an entertainer - no doubt. Namuuliza yeye alipokuwa akiishi nje na kama angekuwa anaweza kuimba na akashiriki mashindano huko je asingestahili kushinda sababu sio wa huko? Lets get past that. Ningepata namba yake ya simu ningemweleza ukweli. Salama ndio kabisa mbaguzi sana. This was Bongo Star Search and the guy was a real star. Anaijua audience yake na anachagua vizuri mziki, anafurahisha na alistahili kushinda. BSS jugdes mmetuabisha na ubaguzi wenu!!
ReplyDeleteMimi kwakweli majaji waliboa sana kwani jamaa walikuwa wanamkandia sana, hata kama waliona hatashinda lakini sio kihivyo. Mnamsema mtu mpaka anajisikia vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteSikupenda the waya walivyokuwa wanamjaji huyu jamaa, ki ukweli alikuwa mkali kwani alikuwa anachagua nyimbo ambazo hata wabongo wangeweza kuziimba tena kwa lugha ya kwao. Lakini jamaa alikuwa akitoa wimbo mara oooohhh mjanja kwani walishindwaje hao mliotaka washinde kuwa wajanja.
Shame on You!!!!!!!!!!!!!!
Salama hahitaji kuona unajishuti kama ulivyosema.
Mliona jamaa mkali mkatafuta namna ya kumvunja nguvu lakini wapi Mzungu akagangamala hamuwezi ngozi nyeupe ni nyeupe tuuuuuu.!!!!!
BSSS kwakweli wamechemsha sana......it not how u start but how u finish....wamemaliza vibaya sana.
ReplyDeleteSALAMA - anasema on TV...."if you win i will shoot my self ".....RACISM on the big tv......ilikuwa haijatulia sana...
imagine ingekuwa ni british idol...na kukawa na mshiriki mmoja toka africa na akafanyiwa mambo aliyofanya payne.sisi wenyewe tungekuwa wa kwanza kulalamika.
Inaonekana ilikuwa mbinu ya cabinet yote ya BSS...kwasababu all went well lakini ghafla kila judge akabadilika na kuanza kuponda.
Kama mimi ningekuwa sponsor kwa kweli i would think twice about sponsoring such an event.
Ajisemee na payne....bongo longo longo jingi.....BSS wamefeli sana.....
Yeah huyu Mzungu mkali kweli.
ReplyDeleteAibu aibu aibu, jirekebisheni jamani.
ReplyDeleteJoseph Payne kaimba vizuri kweli wahamasisheni Watanzania nao waimbe kama vile yeye na siyo kumponda yeye anayeimba vizuri.
Salama hajawahi kumpa positive comment huyu mshiriki hata alipofanya vizuri. Nahisi kukaa kwake UK kwa muda mfupi kumempelekea kuwa mbaguzi. Hata kama ulibaguliwa lakini si na huyu Joseph. kweli huyu kaka alikuwa na wakati mgumu kwenye fainali. Master J nae utadhani alipata kidogo Kili ikamulewesha akawa out of himself na kubwatuka ovyo nanukuu " wabongo ni washamba tu" mnamshangaa tu mzungu. kuna watu wazuri wametoka" seems alikuwa na preference ya mshindi kichwani mwake. Basi wangeweka vigezo vya mshiriki kuwa ni lazima awe raia na mweusi. Nawakilisha.
ReplyDeleteMajaji wa BSS wameonyesha udhaifu mkubwa mno.Jaji aliyekuwa mzuri kwa upande wangu ni mzungu kichaa tu kwani ni yeye pekee alyeonekana kuufahamu muziki na hivyo kutoa maoni yaliyoendana na zoezi hilo.
ReplyDeleteMaster J na Salama walitoa kauli za kibaguzi ambazo hazikustahili kabisa.Hii ni aibu kubwa na ukizingatia walitoa maoni hayo kama vile watu waliokuwa nachuki binafsi.
Joseph Payne walimwona toka walipoanza kutafuta vipaji na wenyewe wakamwona ni mkali sasa iweje leo waje waseme kuwa hafai kwa kuwa ni mzungu?Je hapo awali hakuwa mzungu na uzungu aliupata baada ya kuingia kwenye nafasi za juu na hivyo kuleta wasiwasi kuwa angeweza kuwa mshindi?
Nadhani haya mashindano yanahitaji marekebisho makubwa vinginevyo hayafai kuweo.Wawekwe majaji wanaojua nini maana ya muziki na siyo kuweka wababaishaji tu.Wametutia aibu sana hao majaji.Na wamelifanya zoezi zima kupoteza mvuto.Kama Benchmark mmeamua kuinua vipaji mfanye hivyo kweli na mfuate taratibu zenu mlizojiwekea ktk kufanikisha zoezi zima ikiwemo mnadhamiria kuwanyanyua watu gani na siyo mnachagua watu halafu mwishowe mnawanyanyapaa.ACHENI HIZO!
Seven,Denmark
acheni shambaa nyie vibaraka wa wathungu mlootetea huyo jamaa.piga uaawa garagaza nenda hata kune mmm idols yao huko kwao mswaili hachukui kamwe.afu jamaa dharauu kwei kwei katunzwa mifueza kagomba kuichukua hadi aletewe waschana wakuikota na kumpelekea huko behind the scene.jamaa hana talent anaforci tu labda kwa sababu anasaka kibali cha kuishi na kufanya kazi bongo.
ReplyDeletebig up saana majaji
je huyo mdanish anapiga boxi kihalali bongo?
CIA/ FBI/ WIKILEAKS!!!
ReplyDeleteMajaji na Benchmark wametufelli wananchi. Huyu mzungu alistahili ushindi, nakama angeshinda ingetusaidia kutukomboa sisi watanzania.Ukiangalia kwa makini huyu mzungu siyo kwamba anakipaji, ila jitihada zake, umakini, na kujituma ndo kulikomfanya awe anastahili ushindi. The guy hardworker, anaimba kwa feelings na kwa kuintertain. HICHO NDO KINACHOTUSHINDA WABONGO, HAKUNA KUJITUMA HAKUNA CREATIVITY , ni ubishooloolo tu. Ndo maana huyu bwana ni average at his best lakini kwakuwa na ingredients hizo hapo juu ameweza kutukama washabiki wengi. Na kwakumnyima ushindi hakutatusaidia kujua weakness zetu na ndo maana mambo ni yale yale miaka nenda runi tunawashindi wa BSS kibao wamefanya nini mpaka sasa? simple, hakuna kujituma, no seriousness na tutaendelea hivyo hivyo kwakujidanganya tunasaka vipaji wakati tatizo letu siyo vipaji, vipaji vipo vingi tatizo ni seriousness, determination , focus and the like. BSS wanachakachua ili mbogo apate m30,wakifikiri wanatusaidi kumbe ndo wanazidi kuua sanaa ya muziki
ReplyDeletekula tano anony wa 03:13pm..watu hapa wameng'ang'ania majaji ni wabaguzi wakati hawajui nini maana ya ubaguzi.hebu jaribuni kutoka nje ya nchi ndo muonje joto ya ubaguzi.kwanza huyo mzungu hakuimba anything special.watu walikua wanamshobokea for nothing na kwenda kumtunza.halafu mashindano kama hayo sio ya kutunzana.angalieni American Idol, X-Factor muone kama watu wanatunzwa.
ReplyDeleteall in all, Big UP majaji kwa kuwaeleza ukweli wale wote wenye kushobokea wazungu hata kama hawana talent..
Mimi hapa siku zote huwa nawaambia jamaa zangu hawa wazungu wanaotoka nchi masikini, waende bongo kwani kuwa mzungu bongo lazima utakuwa tajiri,sijui ushamba huu utaisha lini inatia kinyaa. Hata mapenzi ya wenyewe kwa wenyewe hayapo yaani mijitu haifurahii kuano hizo peza kapewa huyo masikini,na ni muimbaji mzuri anyway.P
ReplyDeletetatizo la watanzania ni ushamba ndilo linaliwasumbua
ReplyDelete"To be honest" mshindi wa kwanza na wa pili walikuwa wanaimba vizuri na wana vipaji kila mtu kwa jinsi yake. Wanaosema mzungu alitakiwa kushinda sina hakika kama kweli anawazidi hao walioshinda! Labda tuseme tu kauli zilizotumika wakati wakumjudge ndio hazikuwa nzuri. Ni vema judge akatafuta lugha ya hekima ya kuwasilisha ujumbe wake.
ReplyDeleteIla walioshika nafasi zaidi yake walistahili kabisa.