Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi akifungua jana mjini Mbeya kikao kazi cha Maafisa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Wizara , Idara, Makampuni na Mashirika ya Umma. Kikao hicho kinajadili mada mbalimbali ikiwemo uzalendo na muundo wa Maafisa hao.Mkurugenzi wa Idara, Clement Mshana akimkaribisha Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati wa kufungua kikao kazi cha Maafisa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Wizara , Idara, Makampuni na Mashirika ya Umma. Kikao hicho kinajadili mada mbalimbali ikiwemo uzalendo na muundo wa Maafisa hao.Baadhi ya Maafisa Habari Elimu na Mawasiliano kutoka Wizara , Idara, Makampuni na Mashirika ya Umma wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akifungua kikao kazi cha Maafisa hao cha mwaka kilichofunguliwa jana jijini Mbeya.picha Tiganya Vincent-MAELEZO-Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...