Nahodha wa Kilimanjaro Stars,Shadrack Nsajigwa akiipatia timu yake bao la kuongoza kwa mkwaju wa penati na kufanya matokeo yawe ni 1-0 kwa kipindi cha kwanza cha mchezo.
Kikosi cha Kilimanjaro Stars kilivyopangwa leo
Kikosi cha ivory Coast
Big Screen likirusha live huku umati mkubwa ukishuhudia mchezo wa leo.
Washabiki wa Kilimanjaro Stars wakishangilia goli lililofungwa na Shadrack Nsajigwa.


Kipindi cha pili cha mchezo ndio kimeanza sasa na tutaendelea fahamishana zaidi hapo baadae,hivyo tuvute subira wadau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tumeshinda 1-0. Tumekuwa mabingwa

    ReplyDelete
  2. Ivory cost kalala 1-0. Tumekuwa mabingwa

    ReplyDelete
  3. nimesikia mahojiano ya jk katika spoti ya radio one na mhe.atakula nao chakula cha mchana kesho ikulu

    ReplyDelete
  4. Kwa sasa inabidi JK asiwe anaenda uwanjani maana kila akienda lazima tunalizwa. Sasa ni wakati wa Seif kutuwakirisha kama mgeni rasimi.

    ReplyDelete
  5. MAXIMO apelekewe ujumbe kwamba KASEJA ndiye kipa bora. Kocha huyo alitukosesha vikombe vingi kwa chuki zake binafsi!!!!

    ReplyDelete
  6. Yaani nikikumbuka jinsi Maximo alivyokuwa anatukosesha ushindi kwa ubabaishaje wake, roho inaniuma sana, alitufanya tudharaulike sana katika medani ya soka.Timu aliyoikuta nzuri ndiyo iiyomfunga Burkina Fasso, yeye akaanza kupangua weee miaka yote 4 tukakosa first eleven ya kuamininika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...