Home
Unlabelled
KILIMANJARO STARS 1-0 IVORY COAST NA SASA NI MAPUMZIKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumeshinda 1-0. Tumekuwa mabingwa
ReplyDeleteIvory cost kalala 1-0. Tumekuwa mabingwa
ReplyDeletenimesikia mahojiano ya jk katika spoti ya radio one na mhe.atakula nao chakula cha mchana kesho ikulu
ReplyDeleteKwa sasa inabidi JK asiwe anaenda uwanjani maana kila akienda lazima tunalizwa. Sasa ni wakati wa Seif kutuwakirisha kama mgeni rasimi.
ReplyDeleteMAXIMO apelekewe ujumbe kwamba KASEJA ndiye kipa bora. Kocha huyo alitukosesha vikombe vingi kwa chuki zake binafsi!!!!
ReplyDeleteYaani nikikumbuka jinsi Maximo alivyokuwa anatukosesha ushindi kwa ubabaishaje wake, roho inaniuma sana, alitufanya tudharaulike sana katika medani ya soka.Timu aliyoikuta nzuri ndiyo iiyomfunga Burkina Fasso, yeye akaanza kupangua weee miaka yote 4 tukakosa first eleven ya kuamininika
ReplyDelete