TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara "Kilimanjaro Stars" leo inajikita tena katika wanja la neshno kusaka ubingwa wa Afrika Mashariki na kati kwa kukipiga na timu ya Taifa ya Ivory Coast.
Hivyo wadau woote tunapaswa kuiombea timu yetu hii ili iweze kuchukua ubibwa huu.
Kilimanjaro Stars ambayo imeweza kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mashindano haya ya CECAFA katika mechi zake zote ilizocheza,leo timu yetu hii inakipiga katika fainali na timu Ivory Coast ili kuwania ubingwa huo.
Hivyo basi tunaombwa kujitokeza kwa wingi ili kuipa sapoti timu yetu hii.
Mungu Ibariki Kilimanjaro Stars...
Mungu Wabariki wachezaji wote wa timu hii...
Mungu Ibariki Tanzani...

SAA NGAPI MECHI INAANZA? TUPE MUDA MZEE NI MUHIMU SANA.
ReplyDeleteso sad Ngasa hatakuwepo!11
ReplyDeletekuna online link ya ku watch live ?
ReplyDeleteSAWA tunaiombea dua Kili ichukue UBIBWA kama ulivotaka,
ReplyDeletehttp://www.ethiosports.com/2010/12/09/schedule-change-ethiopia-vs-ivory-coast-semi-final-match-to-take-place-tomorrow/
ReplyDelete