Home
Unlabelled
DDC Mlimani Park Orchestra na kibao Nawashukuru Wazazi Wangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
no comment
ReplyDeletenaupenda sana wimbo huu.umenipa furaha sana kwani huku niliko mimi sina ndugu.wazungu ndio ndugu sangu sasa.nawashukuru sana baba na mama kwakuni peleka shule.
ReplyDeleteKaka Michuzi asante sana kwa kutuwekea wimbo huu hasa sisi tulio nje ya nchi tunafarijika kusema kweli ila nachotaka kujua ni kuwa Bendera ya Kenya inahusika vipi hapo? na Mbona ya TZ ni kaduchu hii ni kuonyesha kuwa huu wimbo ni wa Kenya basi na si wetu sisi Watanzania. Kama ni kapicha weka Twiga au Mlima Kilimanjaro basi huu ni mtazamo tu
ReplyDelete