MSIBA MKUBWA UMEVIKUMBA VILABU VINAVYOSHIRIKI BONANZA LA MICHEZO KILA JUMAPILI LEADERS CLUB JIJINI DAR BAADA YA MWANACHAMA WA KLABU YA SINGASINGA SAIDI BAAMARY KUGONGWA NA GARI NA KUFA HAPO HAPO AKITOKEA KWENYE KISOMO CHA KUWAREHEMU WANACHAMA WA VILABU MBALI MBALI WALIOPOTEZA MAISHA YAO KATIKA VIPINDI MBALIMBALI.
INASEMEKANA MAREHEMU BAAMAR ALIPATWA NA MAUTI WAKATI AKIVUKA BARABARA KARIBU NA UBALOZI WA UFARANSA MANMO MAJIRA YA SAA MOJA JIONI, AMBAPO BAADA YA KUGONGWA GARI ILIYOMGONGA ILITOKOMEA.
MAZISHI YANAFANYIKA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUTU, WAKATI MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU, MTONI JIJINI DAR.
MOLA AIWEKA PEMA ROHO YA MAREHEMU
-AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kweli hatujuwi muda wala saa. jamani tujiandae.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...