MAREHEMU MZEE TUHERI RUMISHA MTUI
(30.1.1934 - 5.12.1999)

Leo ni miaka kumi na moja tangu ulipoamua kuongoza msafara wa kwenda kwa Mwenyezi Mungu.

Japo ulituacha na majonzi makubwa tarehe 5.12.1999 siku ambayo hatutaisahau,tulijua kuwa uko salama katika mikono ya Bwana wetu wa Mbinguni.

Unakumbukwa sana na watoto wako : Conrad Mtui,Deogratius Mtui,Francis Mtui,Edward Mtui,Grace Mtui,Hellen Mtui,Peter Mtui na Charles Mtui

pamoja na Wajukuu,Ndugu na Jamaa wote.

Mungu aendelee kukulaza mahali pema peponi. AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mungu azidi kuwafariji na kuwatia nguvu!

    ReplyDelete
  2. je kuna yoyote mwenye habari za franko?? anaendeleaje na matibabu kasharudi nyumbani? tafadhali leta habari

    ReplyDelete
  3. R.I.P Uncle Tuheri, Sisi tulikupenda ila Mungu amekupenda Zaidi!

    ReplyDelete
  4. Rest in peace baba Mtui.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...