Baba, ni miaka 17 tangu ulipotutoka tarehe 30.12.1993. Pengo uliloliacha katika familia yako ni kubwa mno na halizibiki!! Upendo na mafundisho yako daima tunayakumbuka.
Baba uliipenda familia yako na sisi wana familia tulikupenda lakini Mwenyezi MUNGU alikupenda zaidi kuliko sisi. Tunaamini kazi ya MUNGU haina makosa.
Baba unakumbukwa na wanao (Blackson K. Kanukisya na Lona K. Sekaga), akina mama Libagisye na Beham, dada zako, wapwa zako, wajukuu zako, wakwe zako, wadogo zako na familia nzima ya Mwaisango.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!
Amen

Pole mwalimu Blackson, RIP Mzee Kanukisya.
ReplyDeleteAngel.