Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akizungumza na wakuu wa idara wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakati alipoitembelea Tume hiyo kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika wadhifa huo, kushoto ni Mwenyekiti wa Tume Prof. Jaji Ibrahim Juma na Katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii
Wakuu wa idara mbalimbali wa Tume ya kurekebisha sheria wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani
Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akipokea baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kutoka kwa Katibu Msaidizi wa Tume hiyo Agnes Mgeyekwa, katikati ni Mwenyekiti wa Tume Prof. Jaji Ibrahim Juma.
Waziri wa Katiba na Sheria akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa idara za Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Picha zote na Ofisa Habari wa Tume Munir Shemweta)





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ama kweli siku zinaenda..Duhh...Professor Juma alinifundisha Criminal Law Mlimani..ndo mbichi kamaliza PhD yake Ghent kule Ubeleji...Now he has climbed the ladder..I hope JK will offer you the ultimate prize at the Court of Appeal.....Tunataka watu kama nyinyi ndo mwende kuandika judgements za page mia mbili....kuset precedent..sema tuu siku hizi majaji mnaogopa kutoa dissenting opinions..sijui mnaogopa kuwaudhi wazee..mkakosa uteuzi wa bodi mkistaafu?

    In all, keep it up mwalimu Juma. You partly contributed to see me where I am.

    ReplyDelete
  2. ........mama wanzio wameamua kuongea................sijui utabadilisha msimamo?! ukikubali baaada ya pressure kubwa you will b loser!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...