Mbunge wa jimbo la Mvomero, Amos Makalla, akiwahutubia wananchi wa eneo la Kichangani, Kata ya Mhonda, katika ziara yake ya kuwashukuru wananchi wake kwa kumchangua kuwa mbunge wao.
Wananchi wa eneo la Kichangani ;Kata ya Mhonda, Jimbo la Mvomero,wakimsikiliza kwa makini mbunge wao , Amos Makalla wakati alipokuwa akiwahutubia na kuahidi kutekeleza ahadi alizotoa alipokuwa akiwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. lakini Chadema hawaruhusiwi kwa sababu ya uvunjifu wa amani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...