UMOJA WA TANZANIA - STOCKHOLM, SWEDEN

“ KILIMANJAROCLUB.”

WaTanzania wote wanaoishi nchi za Scandinavia tunawakumbusha kuhudhuria kwenye mkutano wa kujuana na balozi wetu mpya Mhe. Balozi Mohd Mwinyi Mzale.

Siku ya jumamosi tarehe 11 december 2010 mnamo saa 15.00 mchana, hapo Kista Torg 7. Stockholm.

Obs: Hii ni siku muhimu kwetu sote watanzania,mnakaribishwa nyote tujumuike pamoja na kusheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika.

UMOJA WETU NDIO MAFANIKIO KWA TAIFA LETU...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...