Home
Unlabelled
JK atunukiwa Digrii ya Heshima ya udaktari wa Afya ya Jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwenye wivu ajinyonge
ReplyDeletekweli hii ni historia siju kama kutatokea kiongozi kutunukiwa digrii kibao kama raisi wa tz JK.
ReplyDeleteMungu ibariki tz na watu wake.
Mdau France.
ah! Dre, ongeza tu nondozz
ReplyDeleteLabda zinaweza kumsaidia mtu akaonekana ana akili sana kuliko watu wanavyodhani.
ReplyDeletewamtunukie na ya soka, si tumechukua CECAFA?
ReplyDeleteGuinness record
ReplyDeleteMdau wa France, inaelekea umesahau kuwa kuna mtaalamu Julius Nyerere alikula hizo za heshima kama mvua ila hakuwa anapenda kuitwa Dr. reason - hajazisomea. Akaishia kuitwa Mwl.
ReplyDeleteNamleta kwenu...J kubwa kwa shahada nyingine ya soka endelevu...watu wewe...mdau wa tano nimekubali
ReplyDelete