
Mwenyekiti wa kamati ya ushindi Taifa Stars Mh.(MB) wa Singida Mjini Mohammed Dewji (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 15 kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Dk.Emmanuel Nchimbi ikiwa ni ahadi aliyoitoa kwa timu ya Kilimanjaro Stars baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Katikati ni Kapteni wa timu ya Kili Stars Shadrack Nsajigwa akishuhudia makabidhiano hayo.


JAMANI NAOMBA MSAADA KWA HILI, KWANI MWENZENU NAKWAZIKA, TENA HUAGA NAKWAZIKA HASA. HIVI HAFLA KAMA HII HAWA WACHEZAJI WETU WAMETAFUTWA VUU PUU YA KUWA KUNA UJIO WA WAZIRI MWENYE DHAMANA. KWA SABABU HIYO VAA YAO!!! AAAAAAAAAKH! YAANI SIO SAHIHI HASA UKIONA WAZIRI ALIVYOVALIA NA MWENYEKITI WA KAMATI WAMEVAA KIHESHIMA. SASA ANGALIA KAPTEIN WETU MASKINI YARABI!!! ANATANGAZA SIJUI NI KAMPUNI AU NGO GANI HIYO. HIVI KWELI WANAMLIPA?? KAPTEIN WA TIMU YA TAIFA?? HALAFU TZ SOKA LITAENDELEA!!!! MAVAZI NI SEHEMU NDOGO TU YA NIDHAMU. NASEMA HIVI BILA NIDHAMU SIJUI TUTAFIKA WAPI. INAPOANDALIWA MAMBO KAMA HAYA, HATA KUKUTANA NA MTU KAMA RAIS HEBU PAWE NA WATU WA KUFATILIA MASUALA YA PROTOKO. AIBU HII MPAKA LINI??? YAANI HATA HATUJIFUNZI TOKA KWA WENZETU!!! MENEJA WA TIMU KWA HILI NINGEOMBA TENA SANA AWAJIBIKE ILI KULINDA HESHIMA YAKE NA HESHIMA YA TAIFA KWA UJUMLA. HAYA NI MAONI YANGU.
ReplyDeleteMPG BX
Mhe. Nchimbi ninakupongeza kwa agizo ulilolitoa juzi kuhusu vazi la taifa na kwa kuonesha kwa vitendo wewe mwenyewe kulivaa. Suti yako inakupa hadhi kubwa kuliko hiyo iliyovaliwa na MO - maoni yangu. Hatuhitaji kubuni vazi jipya bali ni nyie watawala kulipa haki yake na kulivaa hata mkiwa katika hafla rasmi za kimataifa. Ni suti nzuri ambayo inaweza kuigwa na "wenzetu' nao wakaanza kununua na hivyo kuinua uchumi wetu kama tunavyoinua wa kwao kwa kununua suti zao!!! Si ndio utandawazi bwana, kila mshiriki analeta na kutangaza chake. Ninakupongeza tena, nitakupongeza zaidi nikikuona umavalia suti hiyo ukiwa safari za ughaibuni na/au kuwashauri na wakuu wetu wa nchi kufanya hivyo.
ReplyDeleteNdio maana nikasema wachezaji wetu kwa style hii ya kujivalia kiholela na ile ya british smoke a chair wanayoitoa kwa Paulsen naamini hata iweje hawatafika mbali,naungana na mdau hapo juu kuwa mavazi ni sehemu ya nidhamu ya wachezaji,lazima ifike wakati tuwe na kiona mbali kwa wachezaji kujua wapo ama katika mwaliko maalum ama wapo katika dansi,ni muhimu sana kama sio suti basi sio mbaya hata kuvaa mavazi maalum ya kimichezo,na pia sio mbaya kwa hawa Tanzania Failure Federation (TFF) walitambue hilo,kuna wasio na mitazamo watapinga hili ila kwa kuwa mpira umeanzia kwa hawa weupe basi sio mbaya tukafuatilia wanayoyafanya.
ReplyDeleteZAUNUNU-AMSTERDAM
my next president
ReplyDeleteJAMANI MBONA MNAKOMALIA SANA MAVAZI YA WACHEZAJI WETU. KWANI WAKO UCHI?. KUMBUKENI KUWA 1.HAWA WACHEZAJI NI WA RIDHAA NA SI WA KULIPWA, SASA MNAJUWA WALILIPWA KIASI GANI BAADA YA KUSHINDA KOMBE LA CHALLENGE? 2. NYINYI MNAJUWA BEI YA SUTI BONGO, AU MNALOPOKA TU? 3.HUYO MO NA WAZIRI WENU WOTE NI MAFISADI WA NCHI, KWA HIYO WANANJIA MBADALA ZA KUWEZA KUNUNUA SUTI HATA YA SHS 500,000 MPAKA 1,000,000.00. 4. OHH, AU MNATAKA SERIKALI IWANUNULIE SUTI WACHEZAJI TAKRIBANI 18 WA TAIFA STAR, MAKOCHA, NA WAPAMBE WA TFF (JUMLA WANAWEZA KUFIKA 30)KWA AJILI YA KWENDA KUMUONA JK/NCHIMBI? MNAJUWA HIZO PESA ZINAWEZA KUNUNUA VITANDA VINGAPI KATIKA HOSPITAL YA TEMEKE/MWANANYAMALA/ILALA NK, AMBAKO KINAMAMA WAJAWAZITO WANALALA CHINI? NCHI YETU INA MATATIZO MENGI SANA, LAKINI CHA KUSHANGAZA KUONA MIJITU MINGINE YENYE AKILI PUNGUFU KUNG'ANG'ANIA KUZUNGUMZIA MASUALA YA MAVAZI. SHAME ON YOU, LEAVE THEM PEOPLE ALONE. WE SHOULD ALL CELEBRATE ON WHAT THEY ACHIEVED, AND NOT BEING PICKY ON HOW THEY DRESS. LEAVE-THEM-ALONE. ACHENI MAMBO YA KIJINGA HAYO.
ReplyDeleteMtoa Maoni: 05:31:00 AM, Watu hawamaanishi suti ya kununua Nsajigwa mwenyewe hapa tunaongelea suti za kitaifa zenye nembo ya TFF na bendera ya taifa ndivyo mataifa mengine yanavyofanya kuwa mchezaji sio maana yake ushindie jeans na Tshirt, na kwa taarifa yako ligi yetu ni ya kulipwa but they players are only not IPF
ReplyDeleteNILISHASEMA KUNA MAJUHA AMBAO SIKU ZOTE KITU KIKITAKA KUNUNULIWA NA WATU WALIO AMA CHINI YA SERIKALI AU CHOMBO CHOCHOTE CHA KIJAMII BASI UTASIKIA HIZO HELA MBONA HATUNUNULII VITAANDA NA MADAWA HAYA NA JE VP KUHUSU WALE WANAOGOMBEA KWA VYAMA VYOTE VYA KISIASA NA WAKAINGIA BUNGENI NA KUPEWA VXR YA M250 KWA WABUNGE 300 SAWA NA KIASI GANI?MBONA HAMSEMI?HII ELIMU MUFLISI NDIO TATIZO LA WATANZANIA WEWE UNAJUA HIYO TSHS ALIYOVAA NSAJIGWA NA RABA ZAKE KULE MITAA YA SINZA BEI GANI?NA ZILE M 15 WALIZOPATA KUTOKA KWA MO?UNA HABARI KUWA KILI STARS WANA UDHAMINI MNONO ULIO CHINI YA TFF?NA JE PESA WANAZOPATA TFF KUTOKA KWA WADHAMINI MBALIMBALI NA VILE VIINGILIO VYA UWANJANI KAMA MECHI NA BRAZIL ZIKO WAPI NA MATUMIZI YAKE YAPO WAPI?USISEME3 KITU KAMA HUJUI.UNAYO TAARIFA KUWA KULIKUWA NA MAZUNGUMZO NA WATU WA ADIDAS NA TFF NA KWA MASLAHI YA BINAFSI WAKAKATAA TFF KUINGIA UDHAMINI HUO AMBAO UNGEWAVALISHA WACHEZAJI SUTI?NA UKIAMBIWA SUTI ZA WACHEZAJI USIJE UKAJUA ZILE SUTI MNAZOUZA HUKO KWENU KTK MADUKA YA AK`S BALI NI MAVAZI MAALUM YA KIMICHEZO ACHA USHAMBA WEWE UNAZUNGUMZA UTUMBO AMBAO HAUNA KICHWA WALA MIGUU.
ReplyDeleteNA ZILE SUTI WALIZOKUWA WANAVAA WACHEZAJI WA SUDAN NA ETHIOPIA AU WACHEZAJI HAO HAO WALIPOKUJA HUKU UGHAIBUNI WAKATI WA ENZI WA BABU YENU MAXIMO ZILE SUTI WALINUNULIWA NA DK SLAA?PUMB...U
ZAUNUNU-AMSTERDAM