Balozi wa Tanzania nchini Canada Mh.Alex Massinda, akikata keki ya kuadhimisha miaka 49 ya uhuru wa Tanzania.
Viongozi wa jumuiya ya watanzania Ottawa TAO, katika meza kuu pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mh. Alex Massinda katikakuhadhimisha miaka 49 ya sherehe za uhuru Tanzania. kutoka kuliani ni mlezi wa jumuiya Bw na bi Mwakyambiki, mwenyekiti Dk. Zakaria Mandara, Balozi Mh.Massinda, Bw na Bi Bokango na mama Sokoine mwisho.

ni TANGANYIKA=49 sio Tanzania
ReplyDelete