
YAANI MPAMBANO ULIKUWA TAREHE 13, SIKU YA JUMATATATU ,NA WALE JAMAA WACHIMBA CHINI WALIOKWAMA KULE CHILE WALIKUWA WAGENI WA MANUTD SIKU HIYO WALIKUWA 33, NA CHA AJABU KABISA NA KUSHANGAZA HATA ALIEFUNGA GOLI ALIVAA NAMBA 13 JI SUNG PARK (PICHANI).
HIVI WATU WA MAHESABU YA UNAJIMU MUNATUAMBIAJE...NA MNAZI ALIE KAA PEMBENI YANGU ANANAMBIA HAPA TUNAPOISHI SWEDENI PAMBANO LILIANZA SAA TATU KWA SAA ZAHAPA..TEH..TEH...
BY MBAJUNI WA KWELI
STOCKHOLM
HIVI WATU WA MAHESABU YA UNAJIMU MUNATUAMBIAJE...NA MNAZI ALIE KAA PEMBENI YANGU ANANAMBIA HAPA TUNAPOISHI SWEDENI PAMBANO LILIANZA SAA TATU KWA SAA ZAHAPA..TEH..TEH...
BY MBAJUNI WA KWELI
STOCKHOLM


HUYU JI SUNG PARK NI GOLI LAKE LA TATU LAMSIMU NA HATA NI MARA YAKE YATATU KUWAFUNGA HAWA ARSENAL HAPANAPO VIPI?
ReplyDeleteSasa mbona magoli yaliyofungwa sio matatu?
ReplyDeletethere is no any correlation, hizo ni Imani tu zisizo na maana.
ReplyDeletemaking something out of nothing!!!!
ReplyDeleteIf you belive that, then you would believe everything.
ReplyDeletena hata huku bongo ilianza saa 2300hrs
ReplyDeleteunatuzingua kwa takwimu za uongo..kamwambie babaako
ReplyDeleteila wachimba madini hawakuja wote walikuwa 26..... labda useme hiyo ni 2 mara 13 hapo sawa.....
ReplyDeleteabuu mtanga una matatizo sana ila ukifungwa huwa unatoa kauli chafu
ReplyDeleteLilikuwa goli lake la nne
ReplyDeleteilikuwa goli lake la sita la msimu si la nne wala la tatu
ReplyDeleteNitakuonya mara TATU, usipoacha imani za kishirikina basi maisha yako yatakuwa ya kusubiri silabi TATU yaani BAHATI AU NASIBU
ReplyDeletefreemason number 3 holy trinity...
ReplyDelete