Home
Unlabelled
Shadrack na Cecilia wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu,
ReplyDeleteNasikia ile tshirt yako imeibiwa :) ha hah aha.
Huyo dada mwenye mini gauni picha ya pili toka mwisho anastahili pongezi.
Hongera sana Sagati, maana ulikuwa umeshaanza kuzidi umri mpaka tukawa na wasiwasi. Hongera sana kwa tendo hilo la kihistoria. Tunakukaribisha Honeymoon huku USA.
ReplyDeleteMichuzi naomba utuwekee hii habari ya Zitto. Waandhishi wa habari mbona wanashindwa kutafsiri maneno madogo na wapotosha umma? Hebu angalia hivi ndio ilivyoandikwa "madaktari wameniambia ilikuwa food poisoning (chakula chenye sumu),” alisema Zitto." Food Poisoning sio chakula chenye sumu ni Gastro enteritis (mchafuko wa tumbo), hili linaweza kusababishwa na bacteria, virusi katika chakula, au kama chakula hakijapikwa vizuri,chakula kilichooza etc. Andikeni habari za uhakika
ReplyDeleteHivi kweli kwenye harusi kuna umuhimu wa kuvaa mini!!!??? Hivi ukiwa umesim ama kwenye msitari wa mnuso bangili ikadondoka utaiokotaje?
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Huyo dada alievaa kinguo kifupi cheusi na kuanika mapaja kwenye shughuli za watu inahuu??? hiyo ni arusi sioni sababu jimama mtu mzima kuvaa namna hiyo utazani unaenda ngwasuma sio fresh, wadada lol! jifunzeni kuvaa nguo kuendana na shughuli.
ReplyDeleteHongerni sana maharusi bibi arusi kapendeza sana na shughuli inaonyesha ilikuwa ya kukata na mundu, hadi fulanaz iliwekwa kapuni!
Waswahili wanasema ndani ya Harusi kuna harusi nyingine inaweza tokea ndio maana huyo dada aliyevaa kimini anatenga ili napate buzz na kumuoa eti atoe nuksi. Sio unajua usemi wa dada zetu siku hizi. N.B wamesahau mwanamke mzuri ni wa tabia kuanzia mavazi mpaka kauli na utendaji.
ReplyDeletenice wedding.i miss my team so much,vicky nnakukumbuka sana my dear.lakini frankly huyo dada aliye vaa nguo fupi kaniboa sana,kina dadatina,dada jenny da flora hamkuwepo.mngemtimua you are big sisters in this company you should make sure ladies are respecting themselves.hata kama hamko kazini lakini hiyo ni faction inayowahusisha wana TSN-ni mimi-from DXB
ReplyDeletejamani naomba mnipe location ya ukumbi maana kwa kweli nimesikia mengi mazuri ya ukumbi huo "Golden resort"
ReplyDeletenina kaharusi kangu nategemea kukifunga mwishoni mwa january....
michuzi tafadhali usibane comment hii
wenu mtiifu manka
Michuzi,una tutumiaga wadau viota vya kujiachia pindi unapozuru sehemu,chonde naomba mdau kufikiriwa kutumiwa viota vya harusi Dar mfano tuanzie kwenye huo mnuso maana nisha pasikia ila bado sijafika
ReplyDeleteBachelor n Husband 2b
SOMENI HOSEA 8:8. Ndio mtaelewa waisrael walivyojichanganya na mataifa haijulikana mwisrael ni yupi wala wa mataifa ni yupi, unashangaa nguo fupi, labda huyo ni mwisrael. Pia hii ni ndoa ya WAESDA? au maana niwajuavyo wale sijui?
ReplyDeleteAnkal wewe ya kwako lini??
ReplyDeleteChapeni kazi tujikomboe na ujinga, acheni biashara za kuoangalia watu wamevaa nini wakati wewe huchapi kazi upo kwenye internet. Hiyo ni Harusi na hakuna polisi wa kusema kavaa hiki au kile.
ReplyDeleteKutyooo baba .....gwata akayumba !
ReplyDeleteBhulemo
wewe anony wa saa 07:48 tushachapakazi TSN na ndiyo umeikuta hapo ilipo na nnadhani wewe ndiyo muhusika uliyetukalia uchi hapo.Tumechapa kazi kwa adabu na heshima tungeenda uchi kama wewe usingepata kampuni ya kukuajili.Please anco mich mfahamishe I was there im not talking from the air asituharibie timu kabisa.By the way wana TSN I miss you dears.From DXB
ReplyDeleteHuyo mwenye mini mbona hivyo? Alikwenda kwenye harusi ya mwenzake kuchukua attention yote na ni siku ya mwenzake?
ReplyDeleteInabidi nikija kuolewa nawapa watu dress code ya harusi...It is my day that's it...usipopenda then don't show up...
Clubbing dresses mnaenda nazo kwenye harusi?
ReplyDeleteMgasi wao ali wa kisi. Your wedding came fast brother. Hongela
ReplyDeleteHongera Sana Shadrack Na Cecilia!
ReplyDeleteHuyo MDADA aliyevaa kamini ameenda kwenye harusi na lengo lake lakutafuta MBABA, na Rafiki yangu MICHUZI naona kila nikitoa ujumbe unanibania ujue nikija BONGO tutapambana maana ni wewe uliyepeleka ZANAKI kujifunza GO-JURUU wakati nachezea AVENGERS soccer club pale Chang'ombe.
ReplyDeleteHongera sagati looh welcome to the club! we wish you all the best
ReplyDeleteDebby- USA
We mdau hapo juu we unatafuta nini kwenye internet badala ya kuchapa kazi? umejuaje kama watu wesharudi job wako home wanacheki ishu za kwenye net? na kama mtu kachemsha lazima aambiwe next time awe na busara zaidi.
ReplyDeleteHongera sana Sagati na mkeo, mmpendeza sana.Tulikuwa ktk msiba mie na chb tukashindwa kuja,but we are so glad ulipata support kubwa kutoka from fellow TSN members!God bless ur marriage
ReplyDeleteyego masika echinu echo chikomee, nyamuanga akuyane amanaga.
ReplyDeletehayo ni mambo ya ulaya kwani huyo dada anaishi huko kaja juzi tu
ReplyDeletehuyo dada kaja juzi tu toka malekani msimsakame
ReplyDelete