Home
Unlabelled
SIKU WADAU WA LEADERS CLUB WALIPOKUMBUKA WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakushanga Brother hujaweka habari za watuhumiwa wa mauaji nchini Kenya mwaka 2007
ReplyDeleteJAMANI HIVYO KWELI HAPA ALIKUMBUKWA MTU? MIE NAONA MAZUNGUMZO NI UBWABWA TU. KWA KWELI HILI KWANGU MIE NI FUNZO YA KUWA AMALI ZAKO NDIO ZITAKAZO KUKUSAIDIA HUKO AKHERA NA SI MKUSANYIKO WA WATU.
ReplyDeleteWatanzania tujifunze kufanya mazoezi, obesity ni tatizo kubwa.
ReplyDeleteHawakumbukwi bila ya mpunga?
ReplyDeleteTena mmoja namsikia anasema watu wana njaa!!
(US Blogger)
Michuzi,mbona habari za CCM ulikua unatupa mpaka za vijijini,tena kila siku,lakini habari za sinza kwa Remmy hatuzipati?au unafikiri wote tupo Dar?Tunahitaji kupata habari za Doctor Remmy,anaagwa lini?au amesha agwa na kuzikwa?kila siku naangalia kama kuna Breaking news, Dk Remmy azikwa,sizioni,tatizo ni nini?Sory kwa kuingiza mada tofauti,ingawa inafanana kiaina,maana hata huo ubwabwa mnakula sababu ya waliofariki kama Dk Remmy.
ReplyDeletesamahani jamani mimi sioni nifanyeje ili nione picha?
ReplyDeleteSioni ninaemjua zaidi ya philemon na pia ningependa kuungana na aliyesema tupige vita obesity bila ya hivo kila leo tutawahi kwenda mbinguni kabla ya muda wetu.
ReplyDeleteAfu mi sijui Mine aliyekufa ni yule mine aliyokuwa na magari mbalimbali au ni yupi? nimeshtuka sana.
kanichekesha aliyesema "unawaona wasichana hawa".... kinachochekesha ni kwamba hapo ni sehemu ya kuomba ila shurti kwa comedy. halafu mwisho jamaa anaambiwa "wahi wali..." mi nashangaa si tumbo lake kama hataki kula......
ReplyDeletesamahani jamani mimi sioni nifanyeje ili nione picha?
ReplyDelete________________________________
REFRESH UR SCREEN
mdau 9:35am,
ReplyDeleteni kweli ndugu,yule mine aliyekuwa na magari mbalimbali alikufa mda tu labda miaka 4 sasa, alipigwa risasi na maajmbazi huko sinza, walitaka kumpora gari. ila bado kuna utata kama yale yalikuwa majambawazi kweli. Mungu anjaua zaidi kwa nini walimuua.
rip mine chomba