Ankal,
Ndani ya jiji la New York, USA, wadau wanaenzi taarab asilia kwa vitendo, yaani lugha Kiswahili, violini, accordian,oud n.k , hebu tuwasikilize The Sound of Taarab
Ndani ya jiji la New York, USA, wadau wanaenzi taarab asilia kwa vitendo, yaani lugha Kiswahili, violini, accordian,oud n.k , hebu tuwasikilize The Sound of Taarab
Naam, kweli kabisa dada Alsarah toka Sudan 'Nyie Bin-adamu....' , kweli sasa Taarab mpaka Brooklyn, New-York ipo!
ReplyDeleteyour blog is good. visit my blog too
ReplyDeleteSsafi sana. Siku tukiiona MTV ndio na sisi tutastuka na kuanza kuiga.
ReplyDelete