Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika Maonesho ya Utalii yajulikanayo kama Las Vegas Luxury Travel Show yaliyofanyika Las Vegas,Nevada katika hoteli ya Mandalay Bay na kuvutia nchi na makampuni ya utalii zaidi ya ya 400 mwishoni mwa wiki iliyopita. Kulia ni Bw. Macon ambae amepanda Mlima Kilimanjaro mara 17.
Mkurugenzi wa TANAPA Bw.Edward Kishe akisalimiana na Mkurugenzi wa
Utalii wa Misri Bw. Osama Mohamed.
Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika Maonesho ya Utalii ya Las Vegas Luxury Travel Show yaliyofanyika Las Vegas,Nevada katika hoteli ya Mandalay Bay

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama kawaida mijimababa mitupu aaaaaaaargghhh

    ReplyDelete
  2. Imefikia wakati kuwatumia ma Miss kwenye haya maonyesho. Hata madada wanaovutia wataleta mvuto zaidi ya mibaba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...