Home
Unlabelled
TASWA yamtunuku tuzo JK kwa juhudi za kuendeleza michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
well done taswa forever and ever pamoja
ReplyDeleteJamani watanzania tukiwa tunaenda kwenye dhifa au kuonana na Raisi wetu au wageni maalumu basi tuwe nadhifu. Mfano hawa watu wangependeza sana kama wote wangevaa suti nadhifu, sio Tshirt au zile suti zetu za kihuni za mikono mifupi. Watu wa protocal state house vipi? Kama raisi amewaalika hao TASWA au TFFA au wengineo, basi state house wangeelezwa dress code mapema kabisa. Watakuja wengine na vichupi mtashangaa. Joe Alex Bura Dar
ReplyDeleteyani mlisubiria mpaka awaalike wachzaji ndo na nyinyi mnaenda kutoa tuzo yenu. Kwani nini hamkuomba nafasi yenu yani wanahabari wazima mnafanya hayo madudu si mngeandaa hafla kabisa au mngesubira siku y akutoa tuzo kwa wanamichezo bora wa mwaka ndo mkampa na yeye.
ReplyDeleteTuzo kubwa na ya heshima lakini imetolewa katiak mazingira yasiyostahili.
Hivi ni wakati gani michezo huendelezwa? Wakati timu ya taifa ya mpira wa miguu inaposhinda? Au kwa kuhusisha shule zote zinakuwa na somo la michezo? Je, nikweli michezo yote imeendelezwa? Taswa wanabid watueleze kigezo walichokitumia kwani kuna vikundi vingi vya michezo isiyo ya mpira wa miguu vinalalamika kusahauliwa na serikali.
ReplyDeleteUnajua. nakumbuka marehemu kocha Mziray wakati ananifundisha Sports Joiurnalism pale UDSM, alipendelea sana kusema kuwa watanzania wengi kwao unaposema "michezo" basi wao mawazo yao yanaelekea kwa Mpira wa Miguu tu.. alikuwa ana criticise sana waandishi habari zamichezo ambao wao wanadharau kutoa taarifa za michezo mingine na kuegamia sana kwa football..katika habari football coverage ni 80%, nadhani hawa TASWA nao wana mawazo hayo hayo finyu.. maana naona alichofanya Kikwete katika michezo ni kuhamasisha mpira wa miguu.. angepewa tuzo ya kuhamasisha mpira wa miguu..
ReplyDeleteMaulidi kitenge huna kaunda suti nyingine??????? maana kila unapopata wasaha wa kuenda ikulu katika hafla suti ni hiyohiyo mshono mpaka rangi duhhhhhh kichefu chefuuuuuu..... siku ya kumpongeza raisi ulikua nayo hiyo hiyo leo tena hiyo hiyo mzee matukio mbali mbali pamba tofauti bwana......duhhhhhhhhhh
ReplyDeleteRaisi anastaili tuzo hiyo big up Raisi wetu JK
Mdau
Honkong
Shemeji yangu Maulid Kitenge umewaka jamani dada yetu Mwanaidi hongera sana kwa matunzo tumeona dada umemuweka juu keep it up!
ReplyDeleteHii blog ni nzuri sana kwa jamanii na inatufundisha vingi katika kuelewa dunia na watu waliopo duniani kwa upeo wao wa kufikiri au kuelewa jambo au kitu. hivi kweli unaweza kuandika kitu pasipokujua unamaanisha nini au unalenga jambo gani na hapa ni sehemu ya kuelimishana na si kuchefuana si dhani kama BWANA MICHUZI WEWE uliweka hii kwa kulenga watu wa aina gani ila nia yako njema na upeo wako ndio ulioweza kutukutanisha wote katika kuelimishana na kufundishana jambo au mambo. Hivi kweli bila kufikiri au kuwaza unaweza kusema ETI suti ile ile wewe hapo utakuwa unakosea na kama kweli umwanachama mzuri katika hii Blong sidhani kama ungelipuka kiasi hico jaribu kuangalia kwa makini unachotakiwa kuelimisha jamii na si kuchambua umbile au maungo ya mtu jamani mbona hizo suti ni tofauti ingwa mshono ni mmoja basimsemeni JK ambaye amerudia ile ile ya tangu anapongezwa na hata kwenye dinner je yeye ni mtu wa type gani??? Bwana Moulid jifunzeni kupitia hapa na kungine na ndio mtajua nini mfanye katika kuendeleza jamii kwenye michezo najua serikali yetu na watu fulani fulani ni wagumu kutoa ushirikiano kwa TASWA ila tu wanajali maslahi yao. NAKUMBUKA MLIMUOMBA JK Ili muweze kumpa hiyo TUNZO na ikawa ngumu kupatikana HAINA NENO kwa mlichofanya ingwa ni KWELI msingekata tamaa katika kutekeleza hilo nahisi mlikuwa mnataka mwaka usiishe bila kutekeleza hongereni... mwanzo mgumu siku zote ila fanyeni tofauti ili muweze kupata kura njema mwakani maana mji mwema hujengwa na wanaoishi humo na si vinginevyo ila wanasaidiwa kimawazo na hata kiFINANCIAL SASA basi tuonyesheni mabadiliko msidandie penye upenyo wenye kuleta maana tofauti. nadhani mnalifanyia kazi hilo.
ReplyDeleteJAMANI TUWASAIDIE KIMAWAZO WAWEZE KUSONGA NA SIO KUWAVUNJA MOYO WASHINDWE KUENDELEA NA KUANZA KUWAZA KUWA HILI LITAPOKELEWA VIPI. tubadilije jamani tunataka MAENDELEAO NA SI KUSENGENYANA. HONGERA JK KWA KUONYESHA UPENDO KWA WANAMICHEZO...
Kweli hao Taswa wanauza sura tu!je kama Kilimanjaro wasingechukua kombe wangempa saa ngapi?Na Taswa ni for mpira wa miguu tu?????????????Mwakani hatuwapi kur zetu ng`ooooooo
ReplyDelete