Huu ni ubunifu uliotukuka kabisa,kwani wakati watu wanahaha huku na kule kusaka miti ya mikrisimas,watu wa hoteli ya Moven Pick wameakua kukusanya makopo ya maji na safi na kupendezesha eneo la bustani ya hoteli kwa namna hii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. yap!haya ndio mambo yanatakiwa kuwa mbunifu sio kukalia umbea tu oo kavaa nguo fupi kala nn anasoma wapi siku hizi katoka ulaya anajidai ,haykuhusu safi sana mbunifu huyo

    ReplyDelete
  2. Usiku wanaweka viglopu kwenye hivo vichupa halafu vinakuwa vinawaka waka duh inapendeza!

    ReplyDelete
  3. hivi mimi nauliza hii serikali inasema haina dini ila wananchi wake ndo wana dini , sasa inakuwaje inapofikia vipindi vya sikukuu za kikristo maofisi yote ya serikali yanapambwa kwa miti na mauwa na taa mbali mbali ? kwani zile ni ofisi za nani ? na zikifika sikukuu za waislam utasema kuna msiba maofisini , hata kufagiliwa hapafagiliwi !! jamani wadau hamlioni hili ...

    michuzi usibanie comment yangu please
    wacha tulijadili
    asante
    mdau kariakoo sokoni shimoni

    ReplyDelete
  4. Hili wazo sio lao. Wameiba pale Cine Club, Msasani.

    Jamaa kwenye Bar yao wametundika kishika-taa juu (chandelier) iliyotengenezwa kwa kutumia machupa haya ya maji.

    ReplyDelete
  5. ........... siku kuu yenyewe ni ya "kupanga" na iko kibiashara zaidi, hivyo isikuumize kichwa mdau!

    ReplyDelete
  6. hilo wazo sio lao, israel ndo wameanza kuweka mti wa xmas kwa kutumia chupa za maji, hao ni copy & paste

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...