Home
Unlabelled
Ubunifu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yap!haya ndio mambo yanatakiwa kuwa mbunifu sio kukalia umbea tu oo kavaa nguo fupi kala nn anasoma wapi siku hizi katoka ulaya anajidai ,haykuhusu safi sana mbunifu huyo
ReplyDeleteUsiku wanaweka viglopu kwenye hivo vichupa halafu vinakuwa vinawaka waka duh inapendeza!
ReplyDeletehivi mimi nauliza hii serikali inasema haina dini ila wananchi wake ndo wana dini , sasa inakuwaje inapofikia vipindi vya sikukuu za kikristo maofisi yote ya serikali yanapambwa kwa miti na mauwa na taa mbali mbali ? kwani zile ni ofisi za nani ? na zikifika sikukuu za waislam utasema kuna msiba maofisini , hata kufagiliwa hapafagiliwi !! jamani wadau hamlioni hili ...
ReplyDeletemichuzi usibanie comment yangu please
wacha tulijadili
asante
mdau kariakoo sokoni shimoni
Hili wazo sio lao. Wameiba pale Cine Club, Msasani.
ReplyDeleteJamaa kwenye Bar yao wametundika kishika-taa juu (chandelier) iliyotengenezwa kwa kutumia machupa haya ya maji.
........... siku kuu yenyewe ni ya "kupanga" na iko kibiashara zaidi, hivyo isikuumize kichwa mdau!
ReplyDeletehilo wazo sio lao, israel ndo wameanza kuweka mti wa xmas kwa kutumia chupa za maji, hao ni copy & paste
ReplyDelete