Msemaji mkuu wa timu ya Waandishi wa Habari wa Afrika Mashariki,Fred Alocho akizungumza leo katika mkutano uliofanyia katika ukumbi wa mikutano wa shirikisho la soka nchini TFF,wakati wakizungumzia maandalizi ya mechi yao dhidi ya timu ya Waandishi wa Habari wa Tanzania utakaochezwa siku ya Jumatatu ya tarehe 6 katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii,Kijitonyama jijini Dar.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu kwa Waandishi wa Habari Nchini,Majuto Omary.

mwenzenu sijaelewa, waandishi wa habari wa "afrika mashariki" na waandishi wa habari "wa tanzania" ina maana gani? kwani hao wa "afrika mashariki" ndani yake hakuna watanzania? kwani tanzania ipo afrika magharibi?kiswahili hiki jamani mbona kinatusumbua?
ReplyDelete