Jaji mstaafu na Mwenyekiti wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Tasnia ya Uziduaji nchini (TEITI) Mark Bomani akizungumza na wadau wa sekta ya Nishati na Madini wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es salaam.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Tasnia ya Uziduaji (TEITI) akiuliza maswali mbalimbali juu ya namna mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Tasnia ya Uziduaji (TEITI) unavyofanya kazi nchini.
Wadau wa sekta ya Nishati na Madini wakishiriki mkutano wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Tasnia ya Uziduaji (TEITI) leo jijini Dar es salaam.
Washiriki wa Mkutano na wadau wa sekta ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini masuala mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa wakati wa mkutano wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Tasnia ya Uziduaji (TEITI) wenye lengo la kuweka mfumo wa Uwazi katika katika usimamizi wa uvunaji wa maliasili za madini , mafuta na gesi asilia leo jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...