Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Inasikitisha sana, asanteni wanakwaya kwa ujumbe mzito ambao mmeutoa, Tulimpenda sana Remmy lakini Mungu amempenda zaidi. Roho yake istarehe ktk pumziko la milele.

    ReplyDelete
  2. mimi huwa nikiendaga msibani nalia kweli wakati mwingine mpaka nazimia,ila huwa simlilii marehemu nakumbuka shida na matatizo yangu sasa pale ndio pakuzitolea

    ReplyDelete
  3. mh! what an akward way to express sorrow and grief...!
    hizi mila siyo zetu hapa bandari salama...

    ReplyDelete
  4. Eeh Mwenyenzi Mungu tunakuomba uilaze Roho ya Marehemu Dr.Remmy Ongalla mahala pema peponi.Amen

    ReplyDelete
  5. Michuzi kwanini hukutuwekea kipande cha mazishi yote kwasisi mashabiki wake tulioko mbali angalau tuone halusi yatatu na ya mwisho?Ila tuache jamani atanguriye kwasababu na sisi tupo nyuma kidogo, jamani duh nimelia saana kwa hiki kipande cha hii video.Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  6. Dr.Remmy Ongala Mwenyezi Mungu akulaze pema peponi/Vumbi Dekula Sweden

    ReplyDelete
  7. wana kwaya wana sauti nzuri sana.Mungu amlaze mahala pema peponi.

    ReplyDelete
  8. Asante. Nilikuwa na Dk. Remmy na familia yake masaa machache kabla ya kifo chake. Sitasahau jinsi alivyokuwa anapapasa mkono wa mke wake kama vile anamwambia asiwe na wasiwasi, mambo yatakuwa sawa. Mungu Ampumzishe mahala pema mbinguni.

    ReplyDelete
  9. Mambo gani haya Dokta inabidi tumkumbuke kwa yote, tuweke nyimbo zake....Narudi nyumbani, Kifo na Mambo soksi au Sukari imeingia sumu

    ReplyDelete
  10. Nimesikitika sana tena sana baada ya kusikia msimba wa Dk Ramadhani mtoro, nimechelewa kupata habari ya msiba, kwa sababu kwa muda nimekuwa nje ya nchi
    yangu niliyozaliwa, lakini si kitu, nimekuwa nafatilia Mambo ya nyumbani kila napopata muda, ni hii blog ya michuzi ndiyo iliyonipa habari ya kifo cha Remmy
    Namkumbuka sana DK REMMY alipokuja Dodoma akiwa na Chidumule pale ndani ya uwanja wa jamhuri. Bwana jamaa aliwasha moto wa kufa mtu, kisha akasema niseme ni si seme, watu wote wakasema sema sema, ndipo Remmy akasema wanaume wa Dodoma hawaongi hivyo wanawake wa Dodoma wanapaka hydrolic ( mafuta ya mitambo) basi ilikuwa bab kubwa, Mungu amlaze mahali pema peponi.SELEWINI MAPUNDA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...