Home
Unlabelled
wanakwaya wamlilia marehemu Dk Remmy Ongala leo mazishini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha sana, asanteni wanakwaya kwa ujumbe mzito ambao mmeutoa, Tulimpenda sana Remmy lakini Mungu amempenda zaidi. Roho yake istarehe ktk pumziko la milele.
ReplyDeletemimi huwa nikiendaga msibani nalia kweli wakati mwingine mpaka nazimia,ila huwa simlilii marehemu nakumbuka shida na matatizo yangu sasa pale ndio pakuzitolea
ReplyDeletemh! what an akward way to express sorrow and grief...!
ReplyDeletehizi mila siyo zetu hapa bandari salama...
Eeh Mwenyenzi Mungu tunakuomba uilaze Roho ya Marehemu Dr.Remmy Ongalla mahala pema peponi.Amen
ReplyDeleteMichuzi kwanini hukutuwekea kipande cha mazishi yote kwasisi mashabiki wake tulioko mbali angalau tuone halusi yatatu na ya mwisho?Ila tuache jamani atanguriye kwasababu na sisi tupo nyuma kidogo, jamani duh nimelia saana kwa hiki kipande cha hii video.Poleni wafiwa
ReplyDeleteDr.Remmy Ongala Mwenyezi Mungu akulaze pema peponi/Vumbi Dekula Sweden
ReplyDeletewana kwaya wana sauti nzuri sana.Mungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDeleteAsante. Nilikuwa na Dk. Remmy na familia yake masaa machache kabla ya kifo chake. Sitasahau jinsi alivyokuwa anapapasa mkono wa mke wake kama vile anamwambia asiwe na wasiwasi, mambo yatakuwa sawa. Mungu Ampumzishe mahala pema mbinguni.
ReplyDeleteMambo gani haya Dokta inabidi tumkumbuke kwa yote, tuweke nyimbo zake....Narudi nyumbani, Kifo na Mambo soksi au Sukari imeingia sumu
ReplyDeleteNimesikitika sana tena sana baada ya kusikia msimba wa Dk Ramadhani mtoro, nimechelewa kupata habari ya msiba, kwa sababu kwa muda nimekuwa nje ya nchi
ReplyDeleteyangu niliyozaliwa, lakini si kitu, nimekuwa nafatilia Mambo ya nyumbani kila napopata muda, ni hii blog ya michuzi ndiyo iliyonipa habari ya kifo cha Remmy
Namkumbuka sana DK REMMY alipokuja Dodoma akiwa na Chidumule pale ndani ya uwanja wa jamhuri. Bwana jamaa aliwasha moto wa kufa mtu, kisha akasema niseme ni si seme, watu wote wakasema sema sema, ndipo Remmy akasema wanaume wa Dodoma hawaongi hivyo wanawake wa Dodoma wanapaka hydrolic ( mafuta ya mitambo) basi ilikuwa bab kubwa, Mungu amlaze mahali pema peponi.SELEWINI MAPUNDA