UINQUE ENTERTAINMENT Kampuni inayoandaa shindano la GIRAFFE UNIQUE MODEL leo imeamua kutangaza majina ya warembo watakaoshiriki katika fainali za shindano hilo.
Warembo hao wako kumi (10) na wanatarajiwa kupanda jukwaani katika fainali za shindano hilo zitakazofanyika tarehe 24-12-2010 kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View iliyoko Kunduchi Beach.
Lengo likiwa ni kuwatambulisha pia majaji wetu ambao ambao kwa imani yetu tunaamini wataweza kutufanyia kazi nzuri itakayoturidhisha. warembo wenyewe pamoa ja mashabiki watakaohudhuria katika onyesho hilo
Washiriki wetu hao kumi ni Dora Mhando, Ritha Samwel, Bilkis Suleiman, Asia Dachi, Neema Purity Walele, Careen Suleiman, Caroline Mwakasaka, Diana Manason, Mariam Rabii na Jacline Jiabe.
Majaji wetu watakua ni Ally Rehemtulah, Miriam Gerald, Steven Kanumba, Victoria Martin na Asia Idarus
Pia tanapenda kuwatangaza wadhamini wetu kuwa ni Giraffe Ocean Vew Hotel, Robialack Paint, Global Publisher blog ya uniqueentertz.blogspot.com ambayo ndio inayotoa habari zetu kwa haraka zaidi na kuweza kuwafikishia wadau na Chanel Ten televisheni.

hivi haya mambo ya kuanika dada zetu tanzania kwa kusingizia miss wa hiki na kile ni miezi 12 kwa mwaka?
ReplyDeleteNaona kila shindano moja likisha jengine linafuata. Seuze mwakani brother michuzi akaanzisha miss wa blog ya jamii :(
mdau wa Wed Dec 01, 04:51:00 PM, umesema kweli.
ReplyDeleteAsante Mkubwa.
ReplyDeleteUsisahau tu lile ombi letu Wakubwa wenzio.
Asante.