Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na kiongozi wa Ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya China (China Development Bank, Bw. Hong Zhenghua baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dar es salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera Mhe Pinda your so simple mkuu

    ReplyDelete
  2. Nani Anamvisha Mtoto wa Mkulima Shirt na Tai? Hawaoni kuwa kuna Conflict?

    Jamani ni bora wavalishwe Nyerere Suit au Kaunda Suit

    Aibu Addis Ababa alikuwa na Conflict hiyo pia

    KenRon - New York

    ReplyDelete
  3. Swagga za mtoto wa mkulima huwa zinaniacha hoi, wala huulizi utajua tu ni mtoto wa mkulima

    ReplyDelete
  4. Duh! afadhali mtu mwemngine kanotice. Ata mm niliuza PM hana stylist!!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...