HOST WETO www.blogger.com KAPATWA NA KWIKKWI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI. AMEAHIDI KUTATUA KWIKWI HIYO BAADA YA MUDA SI MREFU KWANI ANAISHUGHULIKIA. TUNAJUA WADAU WANAKUTANA NA KWIKWI HIYO KILA WANAPOFUNGUA LIBENEKE, NASI TUNAWAOMBA SUBIRA NA MAMBO YATAKUWA MSWANO MUDA SI MREFU UJAO.
-MICHUZI
-MICHUZI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...