A 3 bedroom House located at Kisota in Kigamboni,
only 8km after crossing the ferry is for sale.

The following are description of the house:-

The House

·
3 bedrooms
· Roofing-IT 5
· Lounge/Dining room
· Tiled floor (lounge, corridors & wet areas)
· Timber-laminated floors to bedrooms
· Aluminium sliding windows
· Hardwood external doors
· Fitted kitchen, wardrobes and sanitary appliances

Common Facilities
· Commercial area
· Paved access road (50sqm)
· Street lighting

Services
· Paved driveway and packing
· Metered electricity and water
· Chain link fence

Mortgage Financing
Are you interested but have no money to buy?You don’t have to worry! There are various banks and financial institution that would love to provide mortgage financing to the potential buyer. Just call the number below and will give you more details.

NB
The building of Kigamboni Bridge will start early this year. That means after it is built, the price of Kigamboni houses will rise for more than three times....that makes this house an excellent investment.
If you are interested please don’t hesitate to call this number,
0786 887 104

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. I WILL BE ONE OF THE INTERESTED PERSONS IF YOU WILL MANAGE TO PROVE TO ME THAT THE KIGAMBONI BRIDGE WILL BE CONSTRUCTED EARLY THIS YEAR BECAUSE IT IS SAID THAT NSSF WILL START TO CONSTRUCT THAT BRIDGE IN 2015.

    ALSO IS THE MASTERBEDROOM SELF CONTAINED? WHAT IS THE PRICE OF THIS HOUSE? I DONT SEE GRILLS..DOES IT MEAN THERE ARE NO VIBAKAS AT KISOTA?

    KIGAMBONI IS A VERY VERY GOOD AREA. I URGE WHOEVER WANTS TO BUILD A HOUSE IN DAR SHOULD BUY A PLOT THERE COZ AFTER THE BRIDGE IS CONSTRUCTED, TRUST ME THAT AREA WILL BE LIKE MBEZI BEACH.

    HOWEVER, WHOEVER THE SELLER OF THIS HOUSE IS, HE SHOULD BE REASONABLE.

    PAPAA DALALI
    MBEZI BEACH

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi mi naomba mtu yoyote anisaidie. mi ni msichana nimepata mkopo benki fulani hapa dar na nina mpango wa kujenga gorofa ya wastani..sio kubwa wala ndogo. Nina hela pia niliachiwa za urithi ingawa si nyingi naona wadogo zangu nitawasaidia iwapo tutakua na pakukaa.

    nimempata fundi ujenzi na ramani ninayo ila sina uhakika wa bei zake kama ni sawa au ananilalia.nyumba ina vyumba vitano . vitatu viko juu. anasema msingi na kuipandisha hadi kwenye linta na labour chaji ni Tsh 11M. SLAB na kuipandisha ukuta na labour chaji ni Tsh 9M. na Slab ya juu na labour chaji ni Tsh 5M. jE KAKA ZANGU NA DADA ZANGU WENYE UZOEFU NA MWANGA KIDOGO KUHUSU MASUALA YA UJENZI BEI HIZI NI SAWA? NAOMBA MAWAZA PLIIIZ
    ASANTENI

    ReplyDelete
  3. Yale yaleeeeee,,hivi kwanini wabongo wanapatwa na kwikwi linapokuja swala zima la kuweka bei katika biashara wanayouza?duuuu, hivi nani kawalosa nyie wauza vi2?
    nawakirisha madau!

    ReplyDelete
  4. habari kaka michuzi,

    MImi niko interested na hiyo nyumba coz nilikuwa nataka kununua nyumba maeneo ya KIMARA mara baada ya kuuza nyumba yetu ya urithi kariakoo. sasa kaka plz naomba umwambie huyo muuzaj aweke bei yake basi hapo. then mi sitaki mambo ya dalali nataka bei kutoka kwa muuzaji PLZ.

    ReplyDelete
  5. The price is $90,000

    ReplyDelete
  6. Dada unayeuliza gharama za ujenzi kama ni reasonable mimi nadhani huyo fundi yuko fair endapo gharama hizo zinajumuisha kununua vifaa, kujenga na labour charges. Kama ni labour charges bila manunuzi ya vitu kama matofali, mchanga, cement, nondo, n.k achana nae. Ila kama vyote vinakuwa ndani ya gharama hii kwa kujenga kimaskini maskini i.e. kwa usimamizi wa karibu nadhani fundi yuko on right track. Ni ushauri wangu tuu. Mimi nimejenga kijumba cha vyumba vitatu, sitting room, jiko, dining na servant kota hadi kufikia level ya kupiga bati nimetumia jumla ya shilingi milioni 14 tu ila kwa usimimizi wa karibu "kimaskini maskini". Wish you all the best.

    ReplyDelete
  7. Wandugu mnaotaka kununua nyumba kigamboni au kujenga, mna taarifa kuwa Kigamboni kuna masterplan mpya na nyumba zote zilizopo hata sehemu za jeshi zinabomolewa na kuwekwa vitu vipya? ujenzi wote umesimamishwa na serikali na hii ni mpaka karibu na kibada. Wawekezaji wameshaanza kutafutwa na wengine washaanza kazi kujenga mahoteli, kumbi za kupumzikia, macasino, golf clubs nakadhalika. utaatibu wa jinsi wa kumpesate wakati sehemu nyingi bado, inawezekana na hii nyumba ni ya kuwa compesated maana inatakiwa kubomolewa. Kuweni macho na ulaghai unaoweza tokea wakati huu kuhusu kigamboni.

    ReplyDelete
  8. why dont u wait until it built and then sell it? ha ha ha a next year not too far.

    ReplyDelete
  9. Dada unayetaka kujenga nipigie simu nikupe ushauri wa kitaalamu au tuma hata sms, 0712 207717

    ReplyDelete
  10. nimempigia sim naona mwenye nyumba ni mwanadada kapokea kasema 85$ thousand tena usd,wabongo bwana kwani sisi tunatumia £mpaka uuze $,kwanza thamani ya nyumba hiyo mwenyewe nina nyumba kigamboni na kisota bado thamani haijafikia hapo,acha bla bla za daraja bado hazijaja so still house its expensive,maana ujenzi wa kg si gharama sana unachimba mchanga hapo hapo unajengea huo huo shimo la choo aa kg usinunue nyumba jenga mwenyewe!!

    ReplyDelete
  11. Mdau hapo juu unayeongelea Master Plan ni kweli kabisa. Mie namfahamu Dada mmoja kajenga huko kigamboni, ilibaki finishing touches tu, akaambiwa alipojenga "imepimwa barabara", kachanganyikiwa na hajui kama kutakuwa na compensation.

    Jingine nililosikia, eti maharamia wasomali wametupia macho huko Kigamboni nao wameanza kununua nyumba/viwanja...

    ReplyDelete
  12. Ulaghai??...thats isnt the appropriate word 2 use,i guess.We mean business.I forgot 2 mention that its not just one house,its a looooot.Why dont u call the number provided so that u can pay us a visit then u will realise how serious we are.No magumashi my friend,lol.

    ReplyDelete
  13. Anonymous wa Tue Jan 25, 10:25:00 AM 2011: Jaribu pia kuwatafuta wajenzi wa kiChina. Guaranteed prices zao ni nusu ya hizo.

    Anonymous wa Tue Jan 25, 04:08:00 PM 2011: Stop order ya Kigamboni iliisha mwaka jana mwezi wa 10 kama sikosei. Huyo mwekezaji aldhani anapata pori na amekuta watu wamejenga kwenye pockets mbalimbali na ameghaili. Sasa watu wamerudi kujenga viwanja vyao vilivyopimwa kule Kisota, Kibada, Tua Ngoma, Mwongozo, Geza Ulole etc. Huyo dada aliyejenga na sasa anaambiwa kuna barabara inapita hapo ni kwamba alinunua kwa mwenyeji kabla hakujapimwa.

    ReplyDelete
  14. Mimi niko wizara ya ardhi na nawatahadharisha kuhusu ununuzi wowote wa ardhi na nyumba kigamboni. Msidanganyike kigamboni ni kweli kama alivyosema mdau hapo juu kuna masterplan mpya kabisa na hakuna usitishaji wa ujenzi ulifanyika. Mipango yote iko palepale na sasa tuko ky stage ya kumobilize watu jinsi ya kubenefit na ardhi zao kutokana na kuuza kwa wawekezaji au kurent au kuungana ili wenyewe kuwekeza. Kwenye maeneo ya huduma za umma lazima uondoke na kuwa compesated, be careful

    ReplyDelete
  15. Ningemshauri mwenye nyumba aongeze picha kwa kuwa hizi mbili hazitoshi. Ieleweke kwamba si kila mtu anayeweza kuvutiwa na nyumba hii na kutaka kuinunua yupo Dar es Salaam na anaweza kwenda Kigamboni kuikagua. Wengine wapo nje ya nchi. Ingekuwa ni vizuri kama zingewekwa picha za kila chumba na muonekana wake kwa nje.

    ReplyDelete
  16. Nakubaliana nawe hapa ni kuwa mwangalifu maana tunafahamu mwekezaji si mmoja aliyekuwa anatakiwa kwa sababu sehemu ni kubwa. Na hilo tamko ya kusitisha mbona bado lipo au hilo la october mwaka jana ambalo watu wameruhusiwa kuendelea kujenga liko wapi mbona hatujaliona siye? tangaza biashara kwa kutumia taarifa za ukweli ili watu waelewe usipotoshe itakuwa kama una nia ya kutapeli

    http://www.ardhi.go.tz/news/2010/04/23/kigamboni-new-city-master-plan.html

    ReplyDelete
  17. Jamani,si magumashi...cheki link ya hizi nyumba
    http://www.youtube.com/watch?v=y4gx7ia57eY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...