Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiongea na na Balozi wa Msumbiji hapa nchini Mh. Amour Zacarias Kupela ofisini kwake Magogoni jijini Dar walikofanya mazungumzo ya kikazi
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika mazungumzo na Balozi wa Falme za Kiarabu (UAE) hapa nchini Mh. Mallalla Mubarak al Amirer alipomtembelea ofisini Magogoni jijini Dar leo. Picha na mdau Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naona pinda anapata wageni kila kukicha !lol

    mdau paris

    ReplyDelete
  2. HUYU BAROZI NI TYPICAL AFRICAN. LABDA NDIO ZILE NYAKATI WALIZOKUA WANATUPELEKA HUKO. NA MPAKA SASA MBEGU YETU YA AFRICAN INAENDELEA NICE BAROZI

    ReplyDelete
  3. kumbe hata arabuni kuna weusi (waarabu weusi) jamaa husema waamerika tuu na kuwa watumwa wa uarabuni waliuwawa kwa sababu ya ukatili wa dini. Uongo mkubwa, mnasaidia dini yenu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...