MECHI KATI YA TAIFA STARS NA UGANDA INAENDELEA HIVI SASA HUKO MISRI NA MATOKEO BADO NI KWAMBA TAIFA STARS WANAONGOZA BAO 1-0 NA SASA NI DAKIKA YA 40.
ENDELEA KUANGALIA LIVE MECHI HIYO KWA KUBOFYA HIYO LINK HAPO CHINI.
MPIRA UMEISHA NA MABAO KATI YA TAIFA STARS NA UGANDA CRABE NI 1-1 AMBAVYO NDIO KUSEMA TANZANIA IMEAGA MASHINDANO HAYA YA BONGE LA MTO NILE MWAKA HUU...
http://www.ag1tv.info/
ENDELEA KUANGALIA LIVE MECHI HIYO KWA KUBOFYA HIYO LINK HAPO CHINI.
MPIRA UMEISHA NA MABAO KATI YA TAIFA STARS NA UGANDA CRABE NI 1-1 AMBAVYO NDIO KUSEMA TANZANIA IMEAGA MASHINDANO HAYA YA BONGE LA MTO NILE MWAKA HUU...
http://www.ag1tv.info/
Asante mkuu kwa linki hii. Natizama mechi kama vile nipo uwanjani Misri.
ReplyDeleteMbona inaonekana bao ni kama 1-0. Shida seelewi kiarabu lakini kuna mtu keshapigwa bao.
ReplyDeletekaka nashukuru kwa link ila nimepata shida kidogo ya mtandao mzigo haufunguki kabisa though najitahidi sana,plz keep kutupatia matokeo kadri yanavyopatikana,goli kafunga nani?nipo gaborone botswana kaka.
ReplyDeletedoug.
uganda wamesawazisha, na naona lilikuwa goli la kipuuzi kweli, Kaseja alifanya kunyoosha mkono tu akidhani mpira unatoka
ReplyDeleteHII mechi tukishinda itabidi tuchinje ngamia. Washambuliaji wetu hawajatulia kabisaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteTunafungwa si chini ya goli tatu, nitimu yetu ila hali halisi ndio hio.
mbona hiyo link tunaona mechi ya kongo?
ReplyDeleteniaje matokeo ya ujumla?
ReplyDeletemechi imekwisha na matokeo ni Tanzania 1 na Uganda 1
ReplyDeletemaskini Taifa Stars.
niaje matokeo Taifa stars vs the cranes? Mbona Ankal umeweka utamu halafu humalizii kuweka matokeo yote. sisi wakereketwa wa Taifa stars tunayahitaji matokeo hayo!
ReplyDeleteDuh! Kaseja ametuangusha kwa kufikiria mpira unatoka nje!
ReplyDelete