Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha muhimbili, Andrew Elius akiruka juu huku akizongwa na wachezaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki wakati wa bonaza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom na kufanyika shule ya msingi Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki, Joseph Mtombabali (kushoto) akimtoka mchezaji wa Chuo Kikuu cha IMTU, Edwin Alphage wakati wa mchezo wa bonanza lililofanyika katika shule ya Msingi Mikocheni Dar es Salaam.
Mashabiki wa timu ya Chuo Kikuu cha IMTU wakifuatilia mtanange
Kikosi cha Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki wakati wa bonaza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom na kufanyika mikocheni jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Chuo Kikuu cha Tiba cha IMTU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...