Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini Profesa Tolly Mbwette akionyeshwa maeneo ya mazingira yanayozunguka n majengo yaliyotolewa na mkurugenzi mtendaji kampuni ya kimataifa ya Investiment Solution Bw.,Michael Njumba (kulia).

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini Profesa Tolly Mbwette (kushoto) akiongea jambo na mkugenzi mtendaji wa kampuni ya kimataifa Investment Solution Bw. Michael Njumba ambaye amejitolea majengo yake yaliyoko maeneo ya Kyanyi katika Manispaa ya Bukoba ili yatumiwe na kituo cha chuo hicho kilichoko mkoani Kagera kwa ajili ya madarasa na maofisi, aliyevaa suti nyeusi nyuma ya profesa Mbwette ni mkurugenzi wa chuo hicho kanda ya Kagera Bw. Clavery Kabohya.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Yako wapi hayo majengo?

    ReplyDelete
  2. Sasa mbona majengo hayaonekani?

    ReplyDelete
  3. Mawe ndo Majengo ??!! Halafu Kyanyi ndo wapi?? Mbona nakaa Bukoba na sikujui hata kidogo?

    ReplyDelete
  4. Jamani majengo walyopewa mbona hayako kwenye picha, je ni kweli wamepewa majengo au wamepewa kiwanja. Kama ni majengo basi wekeni picha za hayo majengo msije mkawa mnagawana nyumba za akina nshomile waliotoroka kwao. Weka picha ya jengo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...