Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwanalibeneke Mwandamizi Mdau Haki Ngowi (pichani). Globu ya Jamii inakutakia uzime zaidi ya mishumaa mia na kuendeleza libeneke muda wote huo. Hongera kwa kuendeleza Libeneke.

Hepi Besdei tu yuuuu...x2
Hepi Besdei tu yuuuuuuu...
Haw o' ayuuu naaaaw....x2
HEPI BESDEI TU YUUUUU

Libeneke oye!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hivi wewe kaka umechukuliwa ama uko available?

    ReplyDelete
  2. Anonymous hapo juu huoni alama ya kuchukuliwa mkononi?

    ReplyDelete
  3. Hepi birthday mkaka kweli unafanana na samuel etoo.....
    toto la kichagaz me luv you kikwelii, ntaanza kupitia libeneke lako walau nikutie machoni roho yangu ifurahi.......
    happy birthday to yuuuuuuuuuuuuuuuuu...............!

    ReplyDelete
  4. hee etoo tena?mbona mi sioni kafananaz na etoooooz...well happy bday haki ngowi nimepitia face book yako unamtoto mzuriii sana ni msichana au mvulana?

    ReplyDelete
  5. HAPPY BDAY TO YOU DIA NGOWI GREETINGS FROM SOGEA SATOM HIYO PIC WAKATI MDOGOOO NOW UMEKUWA MBABA MUKUBWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...