
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwanalibeneke Mwandamizi Mdau Haki Ngowi (pichani). Globu ya Jamii inakutakia uzime zaidi ya mishumaa mia na kuendeleza libeneke muda wote huo. Hongera kwa kuendeleza Libeneke.
Hepi Besdei tu yuuuu...x2
Hepi Besdei tu yuuuuuuu...
Haw o' ayuuu naaaaw....x2
HEPI BESDEI TU YUUUUU
Libeneke oye!
Hepi Besdei tu yuuuu...x2
Hepi Besdei tu yuuuuuuu...
Haw o' ayuuu naaaaw....x2
HEPI BESDEI TU YUUUUU
Libeneke oye!
Happy Birthday broda
ReplyDeleteHivi wewe kaka umechukuliwa ama uko available?
ReplyDeleteAnonymous hapo juu huoni alama ya kuchukuliwa mkononi?
ReplyDeleteHepi birthday mkaka kweli unafanana na samuel etoo.....
ReplyDeletetoto la kichagaz me luv you kikwelii, ntaanza kupitia libeneke lako walau nikutie machoni roho yangu ifurahi.......
happy birthday to yuuuuuuuuuuuuuuuuu...............!
hee etoo tena?mbona mi sioni kafananaz na etoooooz...well happy bday haki ngowi nimepitia face book yako unamtoto mzuriii sana ni msichana au mvulana?
ReplyDeleteHAPPY BDAY TO YOU DIA NGOWI GREETINGS FROM SOGEA SATOM HIYO PIC WAKATI MDOGOOO NOW UMEKUWA MBABA MUKUBWA
ReplyDelete