CAR TYPE: HONDA CRV - MANUAL
YEAR: 2001
COLOUR: GREEN
LOCATION: DAR ES SALAAM
SPECIAL ATTRIBUTES: DRIVEN BY A WOMAN
REASON FOR SALE: BOUGHT ANOTHER CAR
PRICE: 10 MILLION
NO MIDDLE MEN/WOMEN PSE...
CONTACT: 0757 898 908

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tunahitaji pia kujua yafuatayo
    1. Imetembea kilometers/miles ngapi?
    2. Tanzania imetumika miaka mingapi?
    3. Je ishawahi kupataajali
    4. Wastani wake wa matumizi yake ya mafuta maana pamoja na kwamba naweza kupata taarifa hizi mtandaoni, matatizo ya kiufundi yanaweza kuongeza utumizi wa mafuta. pia no gari ya dizeli au petrol?
    Asante

    ReplyDelete
  2. we mbona maswali mengi?,unaonekana sio mnunuzi.je muuzajji akikuuliza na wewe maswari yafuatayo..
    1:Unaweza nunua hili gari kwa shs ngapi?
    2:Una shs ngapi benk?
    3:Umewahi kuwa na gari?
    4:Unatka kununua au unapoteza muda kwenye blog?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...