KAKA HABARI YAKO
NAOMBA UNITANGAZIE KIWANJA CHNGU

KIWANJA CHENYE UKUBWA WA NUSU EKARI,KINAUZWA MAENEO YA MBEZI MALAMBA MAWILI. BEI NI TSH 20,000,000/=

MAWASILIANO
0714237904
au
0714782029
au
0716555285.

AHSANTE KAKA MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wadau Kiwanja kipo Mbezi ya Morogoro road

    ReplyDelete
  2. Hauko serious, nusu ekari unauza millioni 20 halafu kipo mbezi ya shamba!!!!!!!!!???????. Nani kakudanya unaweza kupata hela kirahisi hivyo. Tangaza bei inayoeleweka watu wanunue, acha masihara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...