Salaam Mdau Mkuu wa Libeneke la nanihiii,

Nimeamua kuanza mwaka kwa mikakati ya kuuaga Ukapera..Nakukaribisha wewe pamoja na wadau wangu wote katika ‘Nyama choma’ ya marafiki kama sehemu ya maandalizi ya harusi yangu(Kama Tangazo linavoonesha)..

Mdau wa Mayfair

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...