TanzMed ni mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya wa kitanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii ya kitanzania na Afrika kwa ujumla inafaidika kwa kupata habari na ushauri juu ya masuala ya afya yanayozunguka jamii hizo.

Lengo kuu la tovuti hii ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasilianoya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya.

TanzMED ni muungano wa maneno mawili, “Tanz” ambalo linawakilisha Tanzania na “MED” ambalo linawakilisha Medicine.
Kuingia katika tovuti ya TanzMed
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. waambieni watu wanawe mikono wakitoka haja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...