Jaji Atuganile Ngwala wa Mahakama Kuu ya Rufaa Tanzania ( aliyesimama ) aliyekuwa ni mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 40 ya kidato cha sita ya Shule ya Sekondari Kilakala , akisisitiza jambo kwa wahitimu wa tarajiwa ( hawapo pichani) ,na wapili kutoka kulia ni Mkuu wa Shule hiyo , Mwalimu Paulina Nkwama.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Kilakala , Mwalimu Paulina Nkwama ( kulia) akifurahia jambo wakati akuzungumza na Jaji Atuganile Ngwala wa Mahakama Kuu ya Rufaa Tanzania ( kulia) juzi shuleni hapo ambaye alikuwa mgeni rasmi na kuwatunuku vyeti wahitimu watarajiwa wa Kidato cha Sita .Baadhi ya wahitimu watarajiwa wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Kilakala ya Wasichana wa vijapi maalumu , iliyopo Mkoani Morogoro, wakimsikiliza mgeni rasmi Jaji Atuganile Ngwala ( hayupo pichani) juzi mjini hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...