INATAKIWA BMW 525 AU 518 AU 523 IWE YA KUANZIA 2005 NA KUENDELEA IWE KTK HALI NZURI IKIWA NYEUSI AU BLUE ITAKUWA VEMA ZAIDI INATAKIWA KWA HARAKA.
HATA MWENYE MODEL WA TOFAUTI KIDOGO NA HIZO ZILIZOTAJWA HAPO JUU ANAWEZA KUWASILIANA NA SISI TUTAKAPOINA GARI KAMA ITARIDHISHA TUNAWEZA KUFANYA BIASHARA KWA MAWASILIANO MUUZAJI SERIOUS TUTAFUTE KUPITIA:
EMAIL
SIMU
+255754414521
+255715414521

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ukilipa 50million nitakuletea mpaka nyumbani kwako.
    BMW 5 series 525d SE diesel 4doors, 2005, engine 2.5L, 126,000miles.
    Utaipata baada ya miezi miwili.

    ReplyDelete
  2. WAKATI WENGINE WANASEMA HALI NGUMU , WENGIBE NDO WANASHOP MA BMW !!
    BEAUTIFUL TANZANIA !!lol

    MDAU PARIS

    ReplyDelete
  3. Nitawasiliana na wewe kwa tenda hii sasa hivi. Lakini kwa mtu yeyote anayetaka gari la aina yeyote, likiwa jipya au lilotumika, la mwaka wowote tafadhali wasiliana na Bin Jabir kwenye email hii:
    zenj.biz.uk@gmail.com
    Tunakuhakikishia utalipata gari lako baada ya miezi miwili na tutakuletea nyumbani kwako. Magari yetu yanaviwango vya EU na tunazingatia mazingira na bei nafuu.
    Email ZENJ.BIZ.UK@GMAIL.COM

    ReplyDelete
  4. Watu wengine bwana , mtu kasema anataka kwa haraka wewe unasema miezi miwili, biashara ni muda kaka, kwani yeye haijui Autotrader mpaka umletee nyumbani kwako kwa miezi miwili.

    ReplyDelete
  5. Inategemea kuna vyengine hafipatikani leo leo, mpaka vitengenezwe au kwa kesi kama hii viagizwe nchi nyengine. Kama anajua autotrader pia atabidi ashindane na wengine maana kuna wengi kama wewe wanaojua hiyo autotrader.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...